Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Kufuatia waasi wa M23 wanasapotiwq na Rwanda kuukalia mji wa Goma kimabavu je ndio mwanzo wa kuigawa DRC?
Wengi walisikia kuhusu mkataba wa lemera ambao unasemwa ndio uliwapa watusi (banyamulenge) eneo lakini baada Muzee Kabila akasema ni mkutano wa porini na yeye hana mamlaka ya kugawa nchi bila idhini ya wacongo.
Sasa Leo M23 chini ya sapoti ya majeshi ya Rwanda yanaukalia mji waa Goma na kujitangaza kuitawala na tayari wakiwa wameishateua Magavana wa kuongoza Jimbo hilo.
Kwa Rwanda na Kagame hii ni FAIDA kubwa sana kwao kijamiii na hata Ki ulinzi. Ni rahisi Sasa kuwazuia FDLR kufika Rwanda anakuwa na uhakika walau kidogo kuwapatia watu wake ardhi mpya.