Mkalukungone Mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 3,141 Reaction score 7,205 Aug 31, 2025 #1 Mgombea Urais kwa tiketi ya CUF Gombo Samandito Gombo anasema serikali yake itahakikisha kuna kodi moja tu kwa kila mtanzania na hakwamba kitambulicho cha NIDA kitatolewa siku moja mtoto anapozaliwa. Your browser is not able to display this video.
Mgombea Urais kwa tiketi ya CUF Gombo Samandito Gombo anasema serikali yake itahakikisha kuna kodi moja tu kwa kila mtanzania na hakwamba kitambulicho cha NIDA kitatolewa siku moja mtoto anapozaliwa. Your browser is not able to display this video.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Aug 31, 2025 #2 Kila la kheri zake... Cc: Mahondaw
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Aug 31, 2025 #3 Duh, Siyo profesa tena?