Wakati nasoma Lugha ya Kiingereza na nikiipenda sana, hiyo kauli ya Gombo tulikuwa tukiita "Conditional Sentence Type Three" which is hypothetical.Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Mhe. Gombo Samandito Gombo, ameahidi kumuachia huru mwanasiasa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, endapo atashinda uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Akizungumza leo Septemba 4, 2025 katika mkutano wa kampeni uliofanyika mkoani Shinyanga, Gombo amesema taifa la Tanzania haliwezi kuwa na amani ya kweli bila haki kutendeka kwa kila mmoja, amesisitiza kuwa moja ya vipaumbele vyake ni kuhakikisha Tundu Lissu anaachiwa huru pamoja na kuunda kamati maalum ya kutengeneza katiba mpya.
Vipaumbele vingine alivyovitaja ni pamoja na kufuta kikokotoo cha mafao ya wafanyakazi, kutoa huduma za afya bure, kufuta mikopo ya elimu ya juu na kutoa msamaha wa madeni ya wanafunzi waliokopeshwa na serikali, ili kila Mtanzania awe na nafasi ya kupata elimu.
Kwa upande wake, mgombea mwenza wa urais kupitia CUF, Husna Mohammed, amesema rasilimali zilizopo mkoani Shinyanga hazilingani na hali halisi ya maisha ya wananchi, hivyo amewasihi wakazi wa mkoa huo kufanya uamuzi sahihi siku ya uchaguzi ili kuleta mabadiliko ya kweli.
View attachment 3465149
Mpango huo wa kampeni nchi nzima wanao? Achila mbali bajeti ya kampeni.Hawa waigizaji wa hiki chama cha CUF, Mgombea wao Urais na mwenza ,wanaambatana pamoja, hii nchi ilivyokubwa hivi wataimaliza leo??..au ili mradi tu waonekane na Landcruiser jipya,account zisome
Akizungumza na watanzania juzi balozi polepole alibainisha kwamba ... kundi la wanamtandao likiongozwa na JAKAYA MRISHO KIKWETE Ndilo lililopanga njama za kumuua ndugu JOHN POMBE MagufuliWakati nasoma Lugha ya Kiingereza na nikiipenda sana, hiyo kauli ya Gombo tulikuwa tukiita "Conditional Sentence Type Three" which is hypothetical.
Kwa siasa hizi unazofanya, zitaifanya CCM itawale nchi hii milele hadi pale mtakapokuwa na akili ya kufanya siasa za kweli. Waulizeni Kiiza Besigye wa Uganda, Julius Malema wa Afrika Kusini na Mondlane wa Msumbiji. Siasa zao za kipumbavu kama zenu zinawagharimubna watakufa hawajaingia Ikulu labda kunywa juizu na pipi kama viongozi wenu! Nyambafu!!Akizungumza na watanzania juzi balozi polepole alibainisha kwamba ... kundi la wanamtandao likiongozwa na JAKAYA MRISHO KIKWETE Ndilo lililopanga njama za kumuua ndugu JOHN POMBE Magufuli
Pia alibainisha kwamba utekaji na mauaji nchini yanafanywa na mtoto wa raisi bwana ABDUL
na akasema kuna mtu mmoja aliingia ikulu na kupiga picha za namna gani na mgombea.
wamepewa mapaka ulinzi wa kufa mtu wapuuzi haoHawa waigizaji wa hiki chama cha CUF, Mgombea wao Urais na mwenza ,wanaambatana pamoja, hii nchi ilivyokubwa hivi wataimaliza leo??..au ili mradi tu waonekane na Landcruiser jipya,account zisome