GONE REGGAE: Ni wimbo gani wa mtindo fulani (Country/R&B) ambao umeimbwa tena kama "Reggae Version" unaupenda sana? Mimi ninaupenda sana "The Gambler"

GONE REGGAE: Ni wimbo gani wa mtindo fulani (Country/R&B) ambao umeimbwa tena kama "Reggae Version" unaupenda sana? Mimi ninaupenda sana "The Gambler"

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2012
Posts
15,892
Reaction score
16,476
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums.

Ni wimbo gani wa mtindo fulani (Country/R&B) ambao umeimbwa tena kama "Reggae Version" unaupenda sana?

Mimi ninaupenda sana nyimbo za "The Gambler" pamoja na "One More Night" ulioimbwa na msanii BUSY SIGNAL kama reggae version

Je, wewe unaupenda wimbo gani wa mtindo huu? Ni wimbo upo mzuri unaweza ku-suggest mimi nisikilize?

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
 
1-Gambler (busy signal
2-Hello (Alaine , original Adelle)
3-One more night (Busy signal , original Phill Collins)
4-See you again - Concarah x Chrysah (original WizKhalifa ft Charlie Puth)
5-Perfect - Concarah (origina Ed Sheeran)

Extra (original reggae)
Tahrir Square - Allaine
You are me - Allaine
King & Queen - Rich Spice x Alison Hind
 
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums.

Ni wimbo gani wa mtindo fulani (Country/R&B) ambao umeimbwa tena kama "Reggae Version" unaupenda sana?

Mimi ninaupenda sana nyimbo za "The Gambler" pamoja na "One More Night" ulioimbwa na msanii BUSY SIGNAL kama reggae version

Je, wewe unaupenda wimbo gani wa mtindo huu? Ni wimbo upo mzuri unaweza ku-suggest mimi nisikilize?

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.

Ninapenda sana reggae music
 
AHabari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums. Ni wimbo gani wa mtindo fulani (Country/R&B) ambao umeimbwa tena kama "Reggae Version" unaupenda sana? Mimi ninaupenda sana nyimbo za "The Gambler" pamoja na "One More Night" ulioimbwa na msanii BUSY SIGNAL kama reggae version Je, wewe unaupenda wimbo gani wa mtindo huu? Ni wimbo upo mzuri unaweza ku-suggest mimi nisikilize? USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.

Let her go,,original aliimba Passenger
 
Halafu kuna muziki unaitwa "Sweet Reggae",.Kama anaoimbaga Allaine,Busy Signal, Steve RnB,Maua Sama,waga naupenda sana huu muziki
 
Back
Top Bottom