Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Kabla ya kuimbwa kama reggae version, original yake ni ipi?Kuna ya Chriss Martin, let her go[emoji7]
Origina ni LET HER GO kapiga Passenger .Kabla ya kuimbwa kama reggae version, original yake ni ipi?
Mzee baba muziki mzuri ni tiba njema ya akiliHAKUNA KITU NAPENDA MAISHANI KAMA MUZIKI ULIO LAINI,WA TARATIBU NA BITI ILIYOSHIBA HASWA NA ISIYOKUWA NA BASE INAYOKWAZA
Ninapenda sana reggae musicHabari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ni wimbo gani wa mtindo fulani (Country/R&B) ambao umeimbwa tena kama "Reggae Version" unaupenda sana?
Mimi ninaupenda sana nyimbo za "The Gambler" pamoja na "One More Night" ulioimbwa na msanii BUSY SIGNAL kama reggae version
Je, wewe unaupenda wimbo gani wa mtindo huu? Ni wimbo upo mzuri unaweza ku-suggest mimi nisikilize?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Chriss martin naye aliufanyia cover, wimbo ni wa passengerKuna ya Chriss Martin, let her go[emoji7]
AHabari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums. Ni wimbo gani wa mtindo fulani (Country/R&B) ambao umeimbwa tena kama "Reggae Version" unaupenda sana?Mimi ninaupenda sana nyimbo za "The Gambler" pamoja na "One More Night" ulioimbwa na msanii BUSY SIGNAL kama reggae version Je, wewe unaupenda wimbo gani wa mtindo huu? Ni wimbo upo mzuri unaweza ku-suggest mimi nisikilize? USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Better than the original versionKuna ya Chriss Martin, let her go[emoji7]
Hii original aliimba nani?Come over - busy signal