Gone Too Soon: RIP JF Member.....Chetuntu!!!

kabla ya kusema hivyo fanya research ya kutosha ili usije ukalaumu vitu ambavyo sivyo. in any case kama ni kweli then i pity medical profession and ningeomba Mungu ... Pili iwapo hoja hii ni ya kweli basi ninaomba
Unani slam nifanye research kwanza halafu na wewe unaanza ku criticize wahudumu wa afya. Watanzania tunapata tabu sana kwenye kujieleza, mfumo wetu wa elimu ufumuliwe.

Ndugu, jamaa, marafiki na wote tulioguswa na msiba huu, poleni sana. Mimba ilipona?

Lakini ni lazima tu deal na vyanzo vya maternal death incident ambayo iko extremely prevalent in our country, ikiwemo medical malpractice. Habari ya Mungu ametwaa Mungu amegawa ni upupu, God doesn't play dice.
 
Duh...Poleni sana wafiwa. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
 
 
Dah......Hizi ID bana..

Inauma sana jamani...

Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani....

Upumzike kwa amani 'B'......Daima nitakukumbuka na kukuombea rafiki..

Bala.
 
Aisee hakika watu ni uvuli tu wa maisha ya yaliyo mbele yetu...................... Mungu amlaze mahari pema
 
Rest in Peace, Chetuntu. Na pole nyingi sana kwa familia, ndugu, jamaa, na marafiki.
 
May her SOUL rest in Eternal peace! Mungu umlinde huyu mtoto aliyebaki ! I'm touched!
 
RIP Chetuntu...tulikupenda lakini Mungu kakupenda zaidi...
 
Innah Lilahi Wa-inaa illahi Rajiooon!!!!!
inaruhusiwa Chiko...Ubarikiwe sana kwa kumtakia Mpendwa wetu Kheri Njema kule aliko hata kama binafsi Dua hiyo sijaielewa lakini Mwenyezi Mungu ameipokea. Najua ipo siku pia nitajifunza nakuielewa vema
 
Nimechelewa kuiona hii taarifa.
Kweli tumeondokewa na mwenzetu mpendwa.
Pole kwa wafiwa. Mungu awape subira na nguvu ya kukabili wakati huu mgumu.
Kwa marehemu ninamuombea Malazi Mema Peponi - Amin, Amin!
 
Innah Lilahi Wa-inaa illahi Rajiooon!!!!!

inaruhusiwa Chiko...Ubarikiwe sana kwa kumtakia Mpendwa wetu Kheri Njema kule aliko hata kama binafsi Dua hiyo sijaielewa lakini Mwenyezi Mungu ameipokea. Najua ipo siku pia nitajifunza nakuielewa vema
Inamaanisha "Hakika sisi sote ni wa (tumetoka kwa) Mungu na hakika tutarejea sote kwake".
 
Rest In Peace dear Chetuntu. We miss you here at MMU
 


My last PM to me!
Kwa Bwana, Kila goti litapigwa
I will miss you mamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…