Yani sijui hata niseme nini!Lakini maumbile yanapofanya kazi yake hakuna cha zaidi,nina uchungu sana.....Namuomba Mungu awe na wote kwa wakati huu mgumu sana....RIP!
Hapo kwenye red naamini ulitaka kumaanisha "Her"..........Inauma sana, lakini lazima tukubali ukweli kuwa, maisha ni lazima yasonge mbele! RIP Chetuntu my friend!
Hapo kwenye red naamini ulitaka kumaanisha "Her"..........Inauma sana, lakini lazima tukubali ukweli kuwa, maisha ni lazima yasonge mbele! RIP Chetuntu my friend!
Ndani ya wiki mbili tu,watu wangu wawili wa karibu wamefiwa na wake zao kwa complication za uzazi na kuwaachia waume zao watoto wachanga,we don't need to ask why,ni mipango ya muumba ambayo haina makosa,R.I.P chetuntu.