Gongo ipi Nzuri!

Bila shaka gongo la kwetu mwanza limemaliza university.Bila hilo sipati usingizi mie
 
Hahahaha!Imetoka moyoni kabisa!Naamini roho mtakatifu atakua nami!!

Bwana wa majeshi ni mwema! Huyo ni roho wa Mungu wala usijali. Itabidi tujadili namna ya kukufikishia ile kitu yako
 
Bwana wa majeshi ni mwema! Huyo ni roho wa Mungu wala usijali. Itabidi tujadili namna ya kukufikishia ile kitu yako

Eti ehhhhh??Hata mimi naamini hivyo!!!
Hay anakusikiliza wewe mchungaji!!
 

Wale wanaoishi kwenye vilima vya Bugando wana asili ya Mara na wanajulikana kama washashi. Sasa kama umeipenda gongo yao ina maana umekunywa gongo ya mapapai na mavi. Na kwa kuwa umeikubali basi hii ndio the best.

Halafu kule mara gongo inajulikana zaidi kwa jina la Chang'aa.
 

Gongo ya Shy wengi wanaisifia ni nzuri sana
 
Jaribu na wewe hakika huhitaji kwenda GYM kujiweka fit! Gongo is a good therapy nakumbia

Faida nyingine za Chang'aa ni kama zifuatavyo:-

  • Kuongeza nguvu za kiume
  • Kuondoa homa na mafua ya rejareja
  • Kutibu malaria ambayo haijawa sugu
  • Kupunguza nguvu za virusi vya ukimwi
  • Kufukuza majini
  • Kuondoa ndoto mbaya usiku
  • Kuongeza confidence ya mnywaji - ni nzuri sana kama unaenda kwenye interview au kwenye mtihani ila usizidishe kipimo.
  • Etc.
 

Inaleta heshima kwenye jamii! Asante mkuu
 
Ikihalalishwa itapungua umaarufu! Halafu si vijijini hata kwenye miji mikuu Gongo ipo, Dar mitambo iko boko, Kunduchi na Mbagala

Mchungaji umesahau mitambo ya maeneo ya Ukonga, Gongo la Mboto, Kipunguni, Kinyerezi etc.
 
Mchungaji umesahau mitambo ya maeneo ya Ukonga, Gongo la Mboto, Kipunguni, Kinyerezi etc.

Hahahahah niliogopa taja ile ya Gongo la Mboto maana nasikia inamilikia na IGP mstaafu! Mzee Mahita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…