Gongo ipi Nzuri!

Cheusi hivyo ndio vionjo vya gongo ni katika kuonyesha msisitizo tu. Huwezi kunywa gongo wakati una "smile" banah. Mimi sishangai kwani pilipili utamu wake ni nini? Ninavyojua pilipili ikiwasha sana dio imekolea vizuri.
 
Rev ina maana umezionja zote? vipi ya kwetu Iringa???
 
Rev ina maana umezionja zote? vipi ya kwetu Iringa???

Nimeonja na kunywa aina nyingi za gongo Tanzania kwa kweli! Gongo la Iringa linatengenezwa kutokana na ile pombe ya Kiasili inayoitwa "Komoni" ikibaki hungeuzwa gongo. Ni ngongo nzuri maana ni nafaka za mahindi hutumika zaidi
 
Mchungaji samahani kwanza kwa swali langu,hivi kama wewe ni mfanyabiashara wa gongo na akaja mtu na kukuibia gongo yako yote uliyonayo, utamshitaki wapi?
 
Mi gongo yangu ndefu na pana, inasifiwa sana na kina dada, wanadai ni bomba ile mbaya
 
Mchungaji samahani kwanza kwa swali langu,hivi kama wewe ni mfanyabiashara wa gongo na akaja mtu na kukuibia gongo yako yote uliyonayo, utamshitaki wapi?

Unatafuta njia za kumalizana naye! Hakuna Mashtaka hapo. Nikuulize na wewe mfano ukienda kuvunja gereza na kuiba ukishikwa utafungwa wapi?
 
nahisi mtumishi siku mvinyo ukiisha church kwako husiti kuwanywesha waumini wako gongo kama sakramenti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…