Gongo katiba ya tanzania

NATA

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2007
Posts
4,492
Reaction score
1,313
Wananchi wa Nkasi wataka gongo ilihusiwe kikatiba

Waionaje hii hoja?
source mwananchi leo
 
Mwananchi aliyetoa hoja hiyo amesisistiza umuhimu wa kuruhusu gongo kikatiba kwani imekuwa mkombozi wa wananchi wa Nkasi kama chanzo cha mapato kwa ajili ya kusomesha watoto wao na imekuwa ikiingiza pesa nyingi sana kwa wauzaji.
 
hata isiporuhusiwa inauzwa na inanyweka na waliopewa dhamana ya kudhibiti hiyo gongo ndio wanywaji wakubwa!
 
hata mimi nashauri iruhusiwe kutumiwa mana madaktari wengi sana wanatumia gongo hata baadhi ya wakubwa na waheshimiwa wanatumia gongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…