Wananchi wamewezaje kuivumilia ccm kwa miaka 60 bila kupatiwa huduma?Bashite anawezaje kuitetea serikali ya CCM iliyokaa madarakani kwa zaidi ya miaka 60 na kushindwa kusimamia uwepo wa huduma za uhakika kwa wananchi?
Kwa sababu ni wajinga!Wananchi wamewezaje kuivumilia ccm kwa miaka 60 bila kupatiwa huduma?
Kwahiyo jibu unalo kuwa kazi ya unayemuita bashite ya kuitetea ccm si kazi ngumu.Kwa sababu ni wajinga!
Hicho ulichoandika ni kauli au swali?Kwahiyo jibu unalo kuwa kazi ya unayemuita bashite ya kuitetea ccm si kazi ngumu.
Umeshanielewa.Hicho ulichoandika ni kauli au swali?