Plot4Sale Gongo la mboto Markaz

Swordfisher

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
233
Reaction score
37
Jamani Kiwanja chenye ukubwa wa Square meters 1000 na hati kinauzwa Gongo la mboto karibu na msikiti wa Markaz. Bei yake ni Sh. Milioni 30 na mazungumzo yapo.
Eneo linafaa kwa makazi au Biashara kama ya Hosteli za wanafunzi wa chuo kikuu na Shopping center. Umeme upo kwenye eneo na maji yako karibu. Ni tambarare na kipo kwenye eneo tulivu lenye majirani wastaarabu.
Alie na uhitaji karibu PM.
 
mi natafuta chumba maeneo ya huko gomz..bajet 25,30,35, had 40
....mazingira safi na yenye usalama ww
a kutosha..ikiwa karbu na barabra vizr zaid
 

Je kimepimwa? na kina hati ya kutoka ardhi?
 
TE="king90, post: 16177108, member: 222338"]Je kimepimwa? na kina hati ya kutoka ardhi?[/QUOTE]
Kina hati kutoka wizarani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…