Gonjwa jipya - Chukua tahadhari!

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Wale wanapenda kukaa na simu kitandani.

Wataalamu wanasema sasa kuna gonjwa jipya linaitwa 'sleep texting' linaathiri quality ya usingizi na afya kwa ujumla. so be warned... Baada ya sleep talking,na sleep walking, sasa kuna hili la sleep texting.

http://news.yahoo.com/blogs/sideshow/what-a-nightmare--sleep-texting-164054105.html
 
tumekwisha ccm hao wanatumaliza ha ha
 
liskupate ujikute umemtumia mama mkwe sms ya hawara...#utani tu# nimekupata mkuu
 
Mmh kwa hiyo watu watatext huku wamelala/kusinzia (sijasoma hiyo link)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…