Gonorea and Kaswende

Buswelu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2007
Posts
1,998
Reaction score
356
Hello JF

Kuna magojwa ambayo ni vyema kujua na si vyema kuyapata...na ni vyema kujua namna ya kujikinga nayo...Magojwa taja hapo juu ni yapo na yanatibika.

Ingawa watu wanaona aibu kwenda kuyatibu ndio maana wakati mwingine huwapa watu wenye ujasiri ruhusu ya kwenda kuuliza sehemu kama hii JF.

Swali Ukiugua magojwa haya kwa pamoja....effect zake baada ya kukaa nao ugojwa kwa muda wa wiki mbili bila matibabu au kukaa muda mrefu bila matibabu ni nini?Hasa kama unakuwa husikii maumivu lakini usaa unaona mara moja kwa siku...?
 

Basically your thing is gonna fall of!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…