Good Girl must Shave

presider

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
1,320
Reaction score
1,738
Ninanyoa Nywele za Sehemu za siri pamoja na Makwapani. Kwa bei nafuu. Nnatumia wembe, Gillette na Shaving Machine. Hii ni kwa Wamama, Wadada pamoja na Mabinti.
Ninakufuata popote ulipo ndani ya Dar.
Good girl must Shave.....!!!!
 
Asanteni kwa Wateja ambao wanazidi kuja kupata Huduma yng pia asante kwa wote walionipa ushaur mbalimbali. Kaz n kaz pia Uhaminifu na Uvumilivu ndio Msingi wa Kazi yng
#Good Girl Must Shave
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna wa kukuruhusu uchungulie mbunye ya demu wake""kama ni msitu huko chini acha ukue hata waasi wa M23 wakahamia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna wa kukuruhusu uchungulie mbunye ya demu wake""kama ni msitu huko chini acha ukue hata waasi wa M23 wakahamia
Mkuu wapo wanaoleta Demu na wake zao kupata hyo huduma kwangu. Pia hata ww nlikua nnaomba Support yako kwenye hii kaz yng
#Good Girl Must Shave
 
Hongera mkuu kwa ubunifu ukimya wako unaashiria wateja kufurika ofisini kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…