nzalendo JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 12,106 Reaction score 12,916 Dec 14, 2013 #1 Wana jf naomba msaada........ni aina ya watu au ni maradhi?.................mtu kujisifia kwamba ana good heart........na kila baada ya sentensi moja mbili utasikia anasema mimi nina good heart.....hii ni nini jamani?
Wana jf naomba msaada........ni aina ya watu au ni maradhi?.................mtu kujisifia kwamba ana good heart........na kila baada ya sentensi moja mbili utasikia anasema mimi nina good heart.....hii ni nini jamani?