CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Shida inayo tukabili wengi sio kukosa Idea bali ni je hiyo Idea unaitekeleza vipi?
Idea zote ni nzuri iwe ni kufuga Nguruwe, iwe ni kuchoma.mahindi, iwe ni kuuza maji Barabarani, iwe ni kuwa na Mgahahawa wa chakula, kuuza nguo na kadhalika.
Shida ni kwamba je hiyo Idea yako Bora unaitekeleza vipi?
Hilo ndo linalo tufanya tuonekane tunashindwa.
NITATOA MFANO.
Una Idea ya kuuza Masweta.
Uko Arusha kwa sasa unaanza kuuza masweta, wazo ni zuri kabisa lakini je wakati huu ni wa kuuza hayo masweta?
Wakati huu joto limeanza je masweta yatauzika?
UNA IDEA YA KUFUNGUA DUKA LA KUUZA SUTI ZA KUANZIA LAKI 2
Ila duka lako unaenda kuliweka kule uwanja wa fisi. au kama ni Arusha unaenda kuweka Ungalimited au Ngarenaro. Hutaweza kuuza make implemenatation ni wrong.
UNA WAZO LA KUUZA MAJI AU KUTEMBEZA MAJI
Unaenda kutembeza masaki kule unajua kabisa watu hununua stock zao na hawanywi maji ya kutembeza.
Idea zote ni bora na kila mtu Idea yake ni bora kuliko ya mwingine. Shida inayo wakabili watu ni jinsi ya kutekeleza sasa hapo sasa ndo unakuta mtu anafanya vituko hadi watu wanashangaa ilikuwaje huyu kajenga hapa?
Ilikuwaje huyu kafungua mgahawa huu mzuri hapa?
Ilijuwaje huyu kafungua hii Min supermarket hapa?
Idea mara zote sio ishu sana bali kazi iko kwenye jinsi utakavyo utekeleza hiyo Idea yako.