TLAWI AKONAAY
Senior Member
- Sep 16, 2016
- 110
- 62
Utakua ulilala Club,Yani mkate miti kuchoma mkaa halafu mvuwa mumuombe Mungu? Huu utani sasa, kwanza punguzeni hayo manyumba ya ngono ambayo wenyewe mwayaita guest house maana ndio vitega uchumi vyenu vikubwa.
Nimelala kwenye bar ya kanisa.Utakua ulilala Club,
Nini maana ya "siku takatifu" ni siku ipi ambayo sii "takatifu"leo ni siku takatifu kwa wale wanaoamini kutokana na imani zetu tulizojaaliwa nayo. katika ibada zetu tuiombee majukumu yetu tunayoenda kuianza kesho jumatatu, tuiombee serikali yetu,tuiombee amani, tuiombee mvua mungu maana ukame umeathiri mazao yetu.nawatakieni jumapili njema wa JF[emoji120]
Makanisa yenye kaunta ndiyo yanayokufaaNimelala kwenye bar ya kanisa.
Asante sana mkuuleo ni siku takatifu kwa wale wanaoamini kutokana na imani zetu tulizojaaliwa nayo. katika ibada zetu tuiombee majukumu yetu tunayoenda kuianza kesho jumatatu, tuiombee serikali yetu,tuiombee amani, tuiombee mvua mungu maana ukame umeathiri mazao yetu.nawatakieni jumapili njema wa JF[emoji120]