Good n' bad of JFmembers

sika

Member
Joined
Oct 5, 2009
Posts
21
Reaction score
0
ni jambo zuri sana kuwa na site hii kwani inatuelimisha na kutuburudisha,nimekuwa ni memba wa blog hii kwa muda mrefu kidogo na nimejifunza mengi kwa kweli.kuna baadhi yetu tumekuwa tukichangia vizuri na kutoa ushauri kwa wenzetu wenye matatizo mahusiano yao ya kimapenzi lakini kuna baadhi wamekuwa wakichangia kwa dharau na lugha mbaya ilihali wenzao wanateseka na wengine pia wamefika mbali kwa kutoa theads za uongo na kujiita wanaume kumbe ni wanawake n' vice versa.ushauri wangu tubadilike na tuwe marafiki kweli kwa kuchangia katika matatizo ya wenzetu.kwa mfno ukiangalia www.lovestiries.com utakuta watu wanafeel matatizo ya wenzao na kchangia pasipo mzaha.ni hayo tu. i'm out.
 
sika
Member
Join Date: Mon Oct 2009
Location: dar
Posts: 21
Thanks: 1
Thanked 2 Times in 2 Posts


SHAMELESS FELLOW!HELL
 
ha ha ha ha!
 
Ni kweli kabisa hujasema uongo. Wengine wanaweka story za kufikirika though zinaweza saidia wale wenye matatizo kama ya mfikiriaji. Tujitahidi tusiwe na ushauri wa mzaha, kama mtu anatoa tatizo lake mshauri, usidharau au kutaka kuonyesha kuwa yeye ni mjinga.

Asante kwa hili. Lets work together
 
Wote hapo juu mmejali sana juu ya muda aliojiunga huyu anyejiita wa zamani hapa JF..... kwa nini msingeshauri juu ya kuwa wakweli kwenye kuchangia...??? Haya ndo yale ya kuanzisha dini kwa mstari mmoja wa kitabu cha dini..

Back to the point.......... TUACHE MATUSI TUNAPOCHANGIA HOJA.........KUNA WENGINE WANA MATATIZO YA KWELI....MNAPOMTUKANA MNAMWONGEZEA MATATIZO. Nadhani kuna haja ya kuanzisha thread ya mwana JF mwenye matusi kuliko wote kwa kila mwezi
 


what is this guy in particular trying to insinuate, and beside he is simply a new "kid in town"
 
...penye walimu hapakosi wanafunzi, tuvumiliane tu hivyo hivyo!
 
umekosea bana,
umeingia CHUMBANI moja kwa moja,
ungesubiri pale SEBULENI ukaribishwe kwanza, Loh.
anyway karibu JF.
 
Welcome to the home of great thinkers.
 
...kwenye wengi kuna mengi, kuna wanaochambua mada na kuna 'wanaowachambua' watoa mada...

Ignore them!
 
Sure, jamani tujifunze kuwa wastaarabu! Mbarikiwe na BWANA Yesu Kristo!
 
eeh bwana vipi bana bado haujawajua tu wanaJF wenzako,
kuna VISHUSHI (watu sirias na wanaoguswa na hoja za wenye matatizo) pia kuna VILAZA (watu wasiojali kitu kabisa maishani mwao)

Pili mtu kuwa mwanamke au mwanaume wakati sio kweli wakati mwingine huwa ni kwa ajili ya kufikisha mawazo na hoja mapya kwa wanaJF

Don't worry kama walikudharau POLE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…