Good News and Bad News to Cheka

Inkoskaz

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
6,361
Reaction score
2,378
BONDIA CHEKA amemshinda Mpinzani wake Maga Maugo jana jumamosi kwa tko na kukabidhiwa zawadi ya gari furaha ambayo hakudumu nayo sana baada ya kugonga mtu na aliyegongwa kufariki.....
 
Duh! Isije kuwa ule usanii wa kutoa zawadi ya gari kwenye stage, halafu linarudi kwa mwenyewe baada ya pambano. Ndio mambo yao mapromota wa bongo.
 
ni kweli amepata ajali ya kugonga mwendesha pijipiki maeneo ya Manzese na hilo limethibitishwa na RPC kinondoni...Radio One Stereo michezo usiku huu
 
Unaweza kukuta kuna elements za kishirikina katika ushindi wake maana Wamatumbi tunajuana.!
 
Ndio maisha, nadhani alikuwa over excited na akajisahau
 
Du hatari sana furaha haijadumu hata siku muja na kumletea matatizo teyari! So sad
 
Alikua anadraiv mwenyewe au? Inasikitisha sana, du!
 
Wabongo kwa misifa kwann asingeipak yard akaenda kuichukua kesho yake au ndio ushamba wa gari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…