Hao ndo mtegemee wanaweza kusimamia haki? hao ndo mnawatetea hawakuiba kura za uraisi?1. Ccm washinda umeya wa Kinondoni(bad news)
2. Simba yaikung'uta goli 3 bila huruma Toto (good news)
3.Chelsea yaibamiza kipigo cha mbwakoko Man Utd(bad news)
jumapili imeisha hvyo.........ccm mungu anawaona lakni.