Good news: Diamond athibitisha Wasafi Tower kukamilika 95%

Picha iko wapi?
 
Miliki yake kiaje? na Hiyo tower ni mnara wa kurusha matangazo ya redio au satelite ya TV?
 
Hii nayo nimeiwaza. Mimi nimewaza kama unavyosema Diamond aekewe share nyingi hivo kwa sababu ya jina lake ili kuvutia biashara. Lkn in actual sense pesa anayopewa sio nyingi kivile.
Mawazo ya kimaskini sisi lkn.
haya masystem ya kutanguliza watu maharufu kwenye miradi mikubwa wanatumia sana wanasiasa na Mafia groups duniani kote!!
mifano ipo Mingi...hapa Tanzania unashangaa mfano Masanja Mkandamizaji in few years anamiliki mali zenye thamani ya mabilioni,wakati kina marehem Majuto,mzee Small n.k wamekufa hoeae masikini wa kutupwa japo wamechekesha jamii ya kitanzania for decades!! Erick Omond,Churchil ,Klint the drunkard wa Nigeria anafanya show nyingi na ni maharufu na Nigeria ina watu wengi wanaoangalia comedy lakini yeye na hawa wa Kenya wana utajiri wa kawaida!! Joti au Mpoki wana wapenzi wengi na wanafanya vizuri kuliko Masanja!! ila Masanja kawapita kwa mali...je ni mchele wa Ubaruku tu???na Kulala juu ya mafyover🤣🤣
Wanamziki kama Wale Wa Njenje,Sikinde,Kila late Remy Ongala,Moshi William Hamza Kalala na Wengine wameimba mziki ndani na nje ya Tanzania..Wengi wao wamefariki ata nyumba ya chumba kimoja awana.Diamond Baba ake mzazi mpaka leo hii anauza viatu vya mtumba anavyonunua pale Karume! aingii akikini mtu mwenye background kama yake na ukizingatia piracy ya music/movie za Kitanzania awe na pesa na mali ambazo anaonyesha kwenye social media...Ila ata last akuna siri chini ya jua...ipo siku all will be revealed
 
Celebrity worship syndrome ni ugonjwa wa akili ambapo mtu hutokea kumpenda mtu maarufu kupita kiasi.

(Kufatilia na kusifia/kupenda kila kitu anachofanya kwenye kazi yake na maisha binafsi.)
Wavimba macho wengi sana,dogo ana pesa ndeefu.
Katoa ajira kibao,siku atakapo tia nia kugombea uraisi wa JMT,utahama nchi kwa aibu
 
Mkuu namkubali diamond ila apo kusema kwamba ndo mwanamuziki anamiliki radio na television afrika sio kweli kuna mwanamuziki anaitwa salif keita yupo mali uko ana media house tangu miaka ya 90 na ana mpunga mrefu tu.
 
Unaweza pia kusema ulevi pia,wengi wanapenda kutumia kwenye pombe kumbe ukipendA kitu kupita kiasi ni ulevi.

Wengi wao wanaopenda celebrity kupita kiasi wanakuwaga wanakula na kulala bure,yaani ni jobless.

Kama wavulana asilimia 90 ni mashoga
Kama wasichana ....ni vile vimalaya

Mtoto wa kiume hauwezi ukashikwa kiasi hiki
 
Duh,,, hii sasa ni kuzidisha hasira za team flani wale wenye rohombaya.
embu weka kapicha nasisi wakijijini tuone hiyo W.C.B Tower inafanana na ya King yakule Tabata.
 
Content na Tittle sawa na mbingu na ardhi havina connection hata kidogo....
 
Sasa unataka awe na utajiri wa kiUSA wakati yeye yuko bongo!!! Serikali yako tu ya TZ haifikii pato la Dr. Dre kwa mwaka 2019...
 
Unaweza pia kusema ulevi pia,wengi wanapenda kutumia kwenye pombe kumbe ukipendA kitu kupita kiasi ni ulevi.

Wengi wao wanaopenda celebrity kupita kiasi wanakuwaga wanakula na kulala bure,yaani ni jobless.
Kama wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
afadhali umekubali kuwa kwa bongo ndo tajili namba moja[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
wewe ndo boya kabisa, wakati ana utajiri wa $10 million ndo ashindwe $1 million
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…