Good news: Diamond athibitisha Wasafi Tower kukamilika 95%

Mkuu namkubali diamond ila apo kusema kwamba ndo mwanamuziki anamiliki radio na television afrika sio kweli kuna mwanamuziki anaitwa salif keita yupo mali uko ana media house tangu miaka ya 90 na ana mpunga mrefu tu.
huyo hajulikani hata buza sawa dogo[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Kazi kweli kweli, kwanza walidai pale wasafi mbezi b kwake, baadaye wakadai amekodi kwa miaka kadhaa, sasa yaja hii ya tower?! Ni shida..
 
huyo hajulikani hata buza sawa dogo[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Mkuu hajulikani? Huyo jamaa ni maarufu sana ni moja kati ya wanamziki wenye hesima Afrika sema mziki wake si wa kizazi chetu cha akina dimaond na davido. Halafu ni albino. Utajiri wake unakadiliwa kuwa wa kiasi cha dollar milion 47, hiyo ni zaidi ya bilioni 90 za Kibongo.
Mimi mwenyewe miziki yake siielewagi naonaga kama anapiga mayowe nadhani kutokana na lugha anayotumia ila ni kati ya wasanii wakubwa toka Afrika na wanaoheshimika sana mpaka kwa wazungu.
 
Maharufu_ maarufu, kumsaidia mzazi wake ni maamuzi yake binafsi,kwanini kama mzazi hakupigania kumsomesha au kumpatia mahitaji yake tangu utoto wake
 
Ndege Binafsi aliyonunua mwaka 2014 bado haijafika?
 
Kibanda umiza ndo ndo mnaita towes
,,, [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…