Good news for those persuing Bachelor of Laws (LL.B)

Malengo Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
287
Reaction score
99
I am very glad to announce to those persuing LL.B that apart from providing PhD of Laws, Masters of Laws, Bachelor of Laws, Diploma and Certificate of Laws, now St. Augustine University of Tanzania (Main Campus) has been transformed to a School of Laws. That is to say, SAUT becomes the second School of Laws in Tanzania apart from that of University of Dar es salaam from 2013/2014 new academic year. Karibuni sana kwa practice zote zinazohitajika wakati wa mwaka wa 5 kwa wanasheria.
Source: Dean of Faculty at St. Augustine University of Tanzania (yesterday 23 sept. 2013 during his speech of opening the new academic year)
 
wamebadili jina tu na kua school of law na sio kwamba watatoa practice za law school of tanzania,hata udsm ipo udsm school of law tangu zamani,kama vp mcheki Kilangi,masanja,masao,kisigiro etc watakuelewesha kama upo hapo saut cz ni lecturers wa law.
 
law school ndo kilele hapo ndo kwenye mafunzo kwa vitendo,hiyo miaka yako piga chuoni kwenu ila bado unatakiwa uende law school ndo uweze kupratice
 

ni habari nzuri tena sana kwa maendeleo ya elimu Tanzania!! Ila ela za field mshatoa kwa wanafunzi wote??
 
Hiki chuo cha majambazi wa pesa hiki ,sio mtakatifu agustino ni majambazi agustino



Lete fee structure ya MZUMBE tuilinganishe na fee structure ya SAUT afu tuone chuo gn ni cha majambazi.
 
Dah kaka inaelekea haujui kitu kuhusu law....law school of tanzania na sio law school ya udsm na iko moja tu iko sinza
 
NOTE: Kuna tofauti kati ya Law school of Tanzaniana school of law.
School of law=faculty of law,tofauti majina tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…