The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,475
- 12,281
Hahaaa yule anacheza movie yake mwenyewe ndani ya movie kuu. Usishangae akaibuka hero. Labda undercover yule😅Kuna yule jamaa anaitwa Arturo kama hatauwawa kwenye season 5. Basi mimi nitaenda mwenyewe Spain kufanya hiyo kazi ya mauwaji #hahahaha