REVIVE siyo nchi bali ni jina la aina mojawapo ya lishe muhimu kama ilivyoelezwa
acha ujinga wewe..mnasaidiwa mnalete kelele...ndo mana mnagongewa wake zenu bz kitandana sifuri kazi kupiga vidole tu..baada ya kushukuru tatizo lako litaondolewa unaleta kelele..ungekuwa wa maana sana kama ungejaribu kuuliza ili upate uelewa zaidia..usilete ucdm hadi kwenye vitu vya maana
ukiwa unatumia hizi dawa unaweza kuwa kama gari lazima iwekwe petrol/dizeli kila siku ndio itembee