gent ..akianza kuchamba anawachamba mpka mods""" mpka wnaogopa kumpiga ban....nahisi anapomalizaga vichambo vyake ..mods wote huwa wanakuwa wameishiwa nguvu""[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utulie basi jamani[emoji23][emoji23][emoji23] basi yaishe
Kumbee lounge pamepoa me najikaliaga nje tuLounge yenyewe hamna kitu. Pale nje ndo pazuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]gent ..akianza kuchamba anawachamba mpka mods""" mpka wnaogopa kumpiga ban....nahisi anapomalizaga vichambo vyake ..mods wote huwa wanakuwa wameishiwa nguvu""
anapoelekea ipo Siku atajichamba mpaka yeye mwenyewe""" hahaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utulivu upo usijari bnUtulie basi jamani
Hapana bby hio kaz itakugharamu ikifeliNimsaidie ampate Shunie
Waache waje at their own riskWamemwona si unajua wezi tena walivyo
Nayo yana balance mwiliHayo ni wajibu
Hujue kaumia hana jinsiMbona umeongea kiupole hivyo
Anakupenda sanaAmesema lini shem jamani huyu anaweza kuniuza bila mwenyewe kujijua sasa na ubonge niliokuwa nao anadanganya watu me ni portable jaman ananitakia mema kweli mm
Unaipendaaa eeehAnaharibu. Hiyo chips bwana
Haya mambo yanataka uzoefu shemBabe umekuwa mgeni na jf jaman ukiwa na mbebez humu unatakiwa uwe na moyo wa chuma sasa kidume wangu unaniangusha jamani huoni mfano hai kwa mbebez wa mzigua
Anytime bbyThank you baby
Tutaona namna ya kulidhibti bbyTumbo sasaaa. Mi langu linakaribia magotini sababu ya chipsi ila siachi.
Nlikuwa naota bbyMimi huyo beb??
Rangi ip hiyoWe kila kitu unahadisiwa tuuuuu huwakuli ukawaona yaan nilivyoona post yako weusi umebaki kwenye makalio nikasema ebu ngoja nijiangalie labda kweli kuna weusi nakuta rangi moja [emoji57][emoji57]
Mnahamasishana wenywe kwa raha zenuUnazipata vijiweni wapi utakuwa unawakula tu na hivi condom hupendi jamani nimekukuta kwenye thread ya condom kuna magonjwa jamani