utukufu mwanjisi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 2,849
- 2,508
Kivipi mkuu Fafanua kidogoVyeo Vipo Vingi!!!
Akikosa Huo Ubunge Baadaye Tutajua Nafasi Za KumteuaKivipi mkuu Fafanua kidogo
Huyu tayari mbunge anaesubiliwaAkikosa Huo Ubunge Baadaye Tutajua Nafasi Za Kumteua
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]MFANYABIASHARA Chandulal Walji Ladwa (68), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kwa tuhuma za kumpa rushwa Mkuu wa Kitengo cha Sheria wa CCM, Goodluck Mwangomango.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Sawa
HapanaNdiye wewe unajipigia chapuo!
Kura zimeendaje huko?Kila la kheri Comrade Goodluck Abinala Mwangomango
Sauli(mbunge anaetetea) kaongozaKura zimeendaje huko?
Daah, pole mkuu Mwanasheria msomiSauli(mbunge anaetetea) kaongoza
Mpaka hapo kakomaa sana kwake ni hatua kubwa sanaDaah, pole mkuu Mwanasheria msomi