Goodluck Gozbert achukuliwe hatua za kisheria kwa kitendo hiki

Goodluck Gozbert achukuliwe hatua za kisheria kwa kitendo hiki

SALOK

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2011
Posts
3,364
Reaction score
2,001
Kifungu cha 324 Penal Code kinasomeka:

IMG_0516.jpeg



20250125_201915.jpg
 
Kwa kosa gani? Utamstaki kwa kifungu kipi? Gari lake kaliteketeza kwasababu linamtia MIKOSI na UMASIKINI.
 
Yaaani nitoe nguo zangu za zamani kabatini, maredio ya zamani na vikolokolo vingine ambavyo ni mali yangu na kwasasa ni uchafu, kisha nivichome moto.

Unanishtaki kwa kosa gani?
 
Mali yake maamuzi yake mbona watu mnapata mihemuko? Yaan niharibi sim yangu halafu nishtakiwe
 
Kwa mantiki hiyo sisi wote ni wahaini kwa kuharibu chakula kwa kukitoa kama kinyesi chooni.

Ushasme mali ya mtu, aliyochoma ni mali yake. Unamshtaki kwa lipi?
 
Kilichoandikwa na ulichokipata wewe ni vitu viwili tofauti. au kuna rejeo lingine umeisahau kutuwekea?
 
Back
Top Bottom