Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 887
- 2,010
Kila nyakati na kurasa zakeHello.
Nini kimetokea kwa msanii wa nyimbo za Gospel Good luck Gozbert amekuwa na ukimya mkubwa sana uliopitiliza na haieleweki umesababishwa na nini.
Hakuna hits song Tena Wala kuvuma na nyimbo zake zile kama zamani.
Nyimbo za injili unaziita hits songHello.
Nini kimetokea kwa msanii wa nyimbo za Gospel Good luck Gozbert amekuwa na ukimya mkubwa sana uliopitiliza na haieleweki umesababishwa na nini.
Hakuna hits song Tena Wala kuvuma na nyimbo zake zile kama zamani.
Kwani wafichaji wako wapi jamn?Huwa anarembua macho sana... hajafichwa kweli?... mji mzito huu!
Shida Iko wapi?Nyimbo za injili unaziita hits song
Tatizo ni hilo neno "hits song" ama?Nyimbo za injili unaziita hits song
Kufichwa maana yake nn!Huwa anarembua macho sana... hajafichwa kweli?... mji mzito huu!
Ulabu a.k.a gambe.Hello.