Goodluck Gozbert sio mwimbaji wa Gospel

H

Hamna gospel pale clouds wanamdanganya akaimbe kwenye fiesta washabiki wameshika mibia mikononi wengine wanabakana,wamevaa vichupi tu gospel gani!..ni staili tu ya kupiga hela
Mwenye afya hahitaji tabibu cc Jesus Christ
 
haya msabato umesikika, kapike chakula chenu, kande, ule ujambe ulale, acha sisi tusikilize "nibadilishe"
 
Kwa hiyo wewe huu wimbo ndio umeujua leo?. Pathetic.

Music ni music tu. Hakuna cha gospel wala nini. Kwani Bahati Bukuku ana tofauti gani na Mondi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama anamtaja Yesu ni gospel..mbona mchungaji wako ana nyumba ndogo ebo
 
Huwez kusema anaimbaa gospel kwa mfumo ule huko ni kushabikia tu
Ni msanii anayeteka attention ya watu wa pande mbili wanaotaka habari za gospel na wasiotaka
Dhumuni kubwa LA usanii wake pia ni biashara zaidiii
Kiufupii yupo kimasilahii zaidiii kulikoo gospel .....
Hiii kuudanganya uma nipo huku na sipo hukuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi nyimbo za Nibebe, utamu wa yesu, zile style na mapanga na viduku ni vya wapi au nayo haikuwa Gospel. Gospel ni kama mziki wowote ule. Unapitia transformation. Ukichukua Gospel ya miaka ya 1800 haifanani kabisa na ya miaka 1900, na haifanani ya miaka 2000 na haifanani na ya leo.
Technology inabadilisha kila kitu, kuanzia mapigo ya mziki, rthym, videos na kila kitu. If you live in the past the future will never find you.
Hivi mfano mtu ambaye hakuwa anaelewa Kiswahili angeona nyimbo ya Rose Mhando nibebe, si angefikiria ni miondoko ya Yondo Sister?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…