Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Anayoyasema sasa ameshachelewa sana kwa sababu anaongelea katika mawanda ya uhalisia uliochelewa "delayed reality"Sasa kama dhamiri yake inamchoma kwa nini alipokea zawadi hiyo ili hali yeye ni wa kiroho?
Kila siku tunakuwa kiroho ,ukuaji kiroho ni process ,ulivyo Leo sivyo utakavyokuwa kesho, unaweza kupanda ,kushuka au kupata zaidiSasa kama dhamiri yake inamchoma kwa nini alipokea zawadi hiyo ili hali yeye ni wa kiroho?
Tukubaliane kuwa alichofanya ni cha kimwili na hata kama kina athari ya kiroho amechelewa sanaKila siku tunakuwa kiroho ,ukuaji kiroho ni process ,ulivyo Leo sivyo utakavyokuwa kesho, unaweza kupanda ,kushuka au kupata zaidi
Kwa Mungu hakuna kuchelewa, angepata madhara ndio ungesema amechelewaTukubaliane kuwa alichofanya ni cha kimwili na hata kama kina athari ya kiroho amechelewa sana
Angeichoma kiroho asingepewa hilo gari issue ingekuwa imeishia hukohuko, alichokifanya ni cha kimwili na mambo ya kimwili ni delayed reality.Kwa Mungu hakuna kuchelewa, angepata madhara ndio ungesema amechelewa
Alipata madhara kiroho ndiyo maana akachukua gari, alichokionesha ni uhalisia uliochelewa sana kwa sababu kabla hajapewa hilo gari Kayla ulimwengu wa vitu "material world" angeweza kulikatas kiroho. Hapa inaonesha alishindwa kote kote yaani kiroho na kimwili.Kwa Mungu hakuna kuchelewa, angepata madhara ndio ungesema amechelewa
We mwanadamu usiyejua hata dk moja mbele nn kitatokeaAlipata madhara kiroho ndiyo maana akachukua gari, alichokionesha ni uhalisia uliochelewa sana kwa sababu kabla hajapewa hilo gari Kayla ulimwengu wa vitu "material world" angeweza kulikatas kiroho. Hapa inaonesha alishindwa kote kote yaani kiroho na kimwili.
Narudia alichofanya ni delayed realit.