Lavan Island
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 2,377
- 2,048
Kwahiyo unatakaje?Habari zenu wana jf natumaini mko poa na wengine mnajiandaa kwenda kanisani,nawatakia jumapili njema,ila mimi nimefulia kiukweli.
Habari zenu wana jf natumaini mko poa na wengine mnajiandaa kwenda kanisani,nawatakia jumapili njema,ila mimi nimefulia ki ukweli.
Ni check basi hata na elfu 5 ndugu naye baba aonae sirini atakujaza hali tete sio mchezoHatati sana hii.Huyu mtu yaonekana hatanii.Anahitaji kusaidiwa.
nicheki japo elfu 5 mkuuKwahiyo unatakaje?
Soma comment # 4nicheki japo elfu 5 mkuu