Goodnews: Pape Sakho apenya 3 bora nominees goal bora

Goodnews: Pape Sakho apenya 3 bora nominees goal bora

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Baada ya mchujo mkali hawa ndiyo watakaotengewa meza zao siku ya sherehe hapo morroco,may God bless POS abebe hii tuzo

awards.JPG
 
hapo sakho anaye mshindani wa kweli lile goli ni kombora la nguvu, anyway alipofika sakho pakubwa sana jina lake ni kubwa afrika kwa sasa ajitahidi msimu huu kumaintain msimu ujao aende zake ufaransa
NYUMBU bhana,
 
Mbona goal la feisal alilofunga CCM kirumba halipo yule msomali anaipendelea simba hajapeleka goal letu CAF alisikika msekule mmoja akisema pale jangwani.
 
Uto pigeni kura zenu hilo goli la Sakho litawatangaza kimataifa
 
Washabiki wa Simba bhana mnatafuta vi habari vyakuwapa faraja baada yakuambulia patupu msimu ulioisha. Anyway endeleeni kumwagilia moyo
 
Kwenye kipengele cha "goal of the year " mwandishi amekidharau kiaina...hajaweka jina la timu anayochezea mteuliwa.
Atakuwa na ushabiki wa kijani huyu 😅
 
Back
Top Bottom