buswagg
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 728
- 1,352
Wakuu, nimeshindwa kutatua changamoto ya kijana hapa.
Chrome app yake anatumie internet ya vodacom, lakini tangu jana akiingia chrome haifunguki kila website, lakini akiswitch internet akiweka ya Yas, website zote zinafunguka na chrome inafunction vizuri tu kama kawaida, ila akiswitch to vodacom internet, site zote zinakataa anashindwa kutumia.
shida ni nini wakuu? ni voda wako na shida ama ni nini? Anahudhuni aliwekewa na baba ake gb 15 zinapotea tu