Hiyo internet anatumia line ambayo ipo kwa simu auWakuu, nimeshindwa kutatua changamoto ya kijana hapa.
Chrome app yake anatumie internet ya vodacom, lakini tangu jana akiingia chrome haifunguki kila website, lakini akiswitch internet akiweka ya Yas website zote zinafunguka na chrome inafinction vizuri tu kama kawaida, ila akiswitch to vodacom internet zote zinakataa.
shida ni nini wakuu? ni voda wako na shida ama ni nini? Anahudhuni aliwekewa na baba ake gb 15 zinapotea tu
Aliwahi kutumia hiyo internet ya voda hapo before kwa kutumia hiyo simu?ndio mkuu
Fuata maelekezo ya huyu jamaa, access point tengeneza setting mpya itafanya kazi.Kwingine inafanya kazi akiswitch data ya voda?
Aangalie settings ya Access point kwenye voda.
Afanye hivyo akiifanyia settings itakubali.Simu
Fuata maelekezo ya huyu jamaa, access point tengeneza setting mpya itafanya kazi.
😂ukute hana bundle unaweza kushauri mpk komwe likachemka!
Afanye hivyo mkuu, ni wakike? Maana wadada hili huwa linawatokea sana.ok, wacha aangalie, japo.anasema hajafanya setting yoyote kwenye cm na hua anatumia nternet ya voda everyday, ngoja aangalie
Data usage limit status yake ipoje kwa upande wa vodacom?only instagram ndio inafanya, ila zingine zote hadi zinagoma akiweka vodacom
Kwingine inafanya kazi akiswitch data ya voda?
Aangalie settings ya Access point kwenye voda.
Hakika ni mbadala mzuri piaAkishindwa apige simu Vodacom huduma kwa mteja watamtumia internet configuration.