Google Chrome OS

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,655
Reaction score
2,506
Google wametangaza kuja na Operating System yao.
 
hii nayo ni breaking news? mbona walitoa taarifa toka mwezi april.Muda sio mrefu yahoo! nao watakuja na ya kwao.
 
hii nayo ni breaking news? mbona walitoa taarifa toka mwezi april.Muda sio mrefu yahoo! nao watakuja na ya kwao.

7/7/2009
So today, we're announcing a new project that's a natural extension of Google Chrome — the Google Chrome Operating System. It's our attempt to re-think what operating systems should be.

Hiyo ya April sijui ni nini mzee, lakini Google wametangaza jana.
 
Hii biashara ya OS maji marefu ..... Commodore's AmigaOS, Apple's Mac OS, IBM's OS/2. ziko wapi?
 
^^Apple Mac imekuwa popular kidogo siku hizi. Hii ya google lengo lao ni kuwe na OS ambayo inakuwezesha kuingia online fasta, halafu mambo mengine yote ufanyie online, yaani hakuna kuinstall Software, unatumia Gmail,Google Apps, Online Radios etc. Kwa sisi ambao mtandao ni luxury itakuwa ngumu nadhani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…