Kamati ya bunge la uingereza imebainisha kua kati ya mwaka 2006 hadi 2011 kampuni ya google ilitengeneza faida ya $18 billion kwenye biashara zake ndani ya uingereza lakini ndani ya kipindi hicho walilipa corporate tax kiasi cha $16 million tu.huu ni ukwepaji mkubwa wa kodi kuwahi kutokea ndani ya taifa hilo inadaiwa pia kampuni zingine zinazoshutumiwa ni pamoja na amazon.com,starbucks na apple.
Note:kama wanaweza kukwepa hivi kwenye nchi zilizoendelea na zenye taasisi imara pamoja na utawala bora inakuwaje kwenye nchi zetu huku zilizojaa rushwa na taasisi zisizokua imara sana.research 1 inadai katika kila $2 inayokuja africa kama msaada kutoka mataifa yaliyoendelea $8 inaondoka africa kwenda nchi hizo kama pesa ambazo hazijalipiwa kodi kutoka na faida makampuni hayo makubwa ya kimataifa yameyapata kwa kufanya biashara ndani ya africa wanatorosha fedha hizi kwenda mabank yao huko kwenye tax heavens na switzerland.do africa need aid or fair share of its taxes?