Google imeanza kusambaza Android 17 QPR1 Beta 9 kwa watumiaji wa Pixel, ikiwa imejikita zaidi kwenye kuboresha stability, performance na kurekebisha bugs. π±β‘
Google iliitoa update hii Toka 17 Agosti 2026, ikiwa na build CP31.260623.012. Je π Nini kipya kwenye Beta 9 ?
π Fix ya reboot loop: baadhi ya Pixel zilikuwa zinajirestart kila baada ya takribani sekunde 20β30; Beta 9 inalenga kurekebisha tatizo hilo.
π Battery drain imeboreshwa, hasa kwenye mazingira yaliyokuwa yanasababisha matumizi yasiyo ya kawaida.
π Circle to Search: Google imerekebisha tatizo ambapo gesture ya kubadilisha apps kutoka chini ya screen inaweza kushindwa kufanya kazi baada ya kutumia Circle to Search.
π Kuna pia marekebisho kadhaa yanayohusiana na audio/media, pamoja na matatizo mengine ya mfumo.
Hii ni moja ya hatua za mwisho kuelekea Android 17 QPR1 Stable. Watumiaji wa Pixel, mmeipokea tayari?Bongotech255 πΉπΏ