Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Asante kwa taarifaView attachment 3674936
Google imetoa update mpya upande wa Gmail Ina msaada mkubwa sana kwa watumiaji wa Gmail👋.
Kuanzia sasa Ukipokea verification code kwenye Gmail, huhitaji tena kufungua email na kuanza ku-select namba moja moja. 😮💨
View attachment 3674937View attachment 3674938
Gmail sasa inaonyesha “Copy code” — bonyeza tu, code ina-copy moja kwa moja 📋⚡ kisha unaipaste kwenye app au website inayotaka Kuthibitisha huo msimbo kupitia simu yako.
Kumbuka 🔐 Inapatikana wapi?
Android: Gmail version 2026.09.07.x
iPhone: Gmail 6.0.260907
Gmail Web/PC: bado haijaonekana.
View attachment 3674939
⏱️ Sekunde chache tu zinaweza kukuokoa usumbufu mwingi! Feature hii inakuja kwenye Android na iPhone kwa hatua.
🔥 Wewe umeanza kuiona kwenye Gmail yako? Tuambie kwenye comments!
Ila wamechelewa kidogo ila sio mbayaView attachment 3674936

Ingia play store update gmailAsante kwa taarifa
Hata hivyo mimi sijaiona