Google inatambua Kenya

Hatuioni hiyo elimikeni, google ni wajanja sana, hiyo ni njia ya kukamata wateja tu wajameni, sasa uonyeshe wtz mambo ya kenya yanawahusu nn? Imaonyesha kulingana na location kwa yeyote aliyepo kenya ataiona ili mfikiri kuwa ninyi ni special sana na muendelee kuitumia google watu waendelee na biashara zao. Watu wengine bana ukiwa kwa wakikuyu unaongea kikuyu, haina maana kenya yoote wanaongea kikikuyu, la hasha ila kuna wakikuyu wanaamini kikuyu ni vha dunia nzima
 
I am with the Tanzanians this time....actually you did not see it saying happy jamhuri day on 9th for Tanzanians because you are not in Tanzania...it depends on your location... but it does this for all countries...infact, huwa inafanya hivi kwa birthday yangu....inatambua kila mtu na kila nchi....na pia huwa inafanya hivyo on mother's day, fathers' day, Christmas, new years, Easter, World Cup etc...


 
Today is jamhuri day(independence day) in Kenya...open www.google.com utaona hii
9th was tz independence day yet google haikuwatambua.....LDC ni ldc
Ushamba wa hali ya juu this depends on location mbona ata sisi baadhi ya Tanzanian holidays wanaweka mambo ya kitanzania if ukiingia google ukiwa Tanzania but utakuwa mjinga kudhani ni worldwide
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…