Kampuni ya GOOGLE upande wa matangazo imesitisha malipo yake ya matangazo yanayopatikana kwenye application za simu (admob) na blog au website (AdSense), Google wamenitumia E-mail kufikia mapema mwa mwaka kesho (2021) watasitisha rasmi malipo kwa njia ya Western Union.
SWALI : Western Union ilikua njia rahisi sana kwenye malipo ya Google tz. Je ni bank gani nzuri hapa Tanzania inaweza kutumika kupokea malipo yetu ya matangazo kutoka google kwa haraka na kwa urahisi zaidi?