Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Mwaka jana tuliona Snapchat, Ray Ban, Meta, TikTok, Xiaomi, Oppo na Huawei zilionyesha Smart Glasses mpya ambazo zina uwezo wa Augmented Reality. Apple pia ipo katika matengenezo na inaunda Smart Glasses zake.
Upekee wa Google ina Google Lens, Google Assistant na mfumo mzuri wa AR hivyo itakuwa ni miwaji janja na nzuri kwa kuunganisha na mfumo wa Google.
Itakuwa ni maalum kwa wanafunzi, designers, madaktari na wataalam mbalimbali. Tofauti na VR kama za Sony na Meta; AR (Augmented Reality) glasses ni simple na inatumia mazingira yaliyopo kuongeza details za ziada kama vile infos, notifications, directions na mtu anaona mbele kama kawaida huku akiwa anaona details za ziada.
Inaonekana kampuni kubwa za Tech zinajaribu soko la AR Glasses baada ya Snapchat, Ray Ban na Facebook kufanikiwa katika AR Glasses.