Google Latitude: "usiniongopee najua ulipo...!!"

Google Latitude: "usiniongopee najua ulipo...!!"

Steve Dii

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2007
Posts
6,402
Reaction score
1,273
As always, it is not without controversy, Google have delivered again! A great mainstream consumer product has been unleashed and is grabbing headlines. Well let's just say - Latitude is the word and privacy won't be your lone world! More about Google Latitude to come....in the meantime please watch this video clip:

[media]http://www.youtube.com/watch?v=Q-Oq-9enE-k[/media]

SteveD.
 
Sielewi privacy issue inatoka wapi wakati inabidi ujiandikishe mwenyewe kwenye service.
Video sijaangalia nalipia per Mb mwenzako!
 
Sielewi privacy issue inatoka wapi wakati inabidi ujiandikishe mwenyewe kwenye service.
Video sijaangalia nalipia per Mb mwenzako!

I said so picturing the hacking and fiddling phenomenon that befall afterwards just like on every other technology
 
Last edited:
Sounds like buddy beacon on my phone.
 
Sounds like buddy beacon on my phone.

Yeah same thing, ila Google ikiingia kwenye market watu ndo wanakuwa exited na wengine wanadai "wameinvent".
 
As always, it is not without controversy, Google have delivered again! A great mainstream consumer product has been unleashed and is grabbing headlines. Well let's just say - Latitude is the word and privacy won't be your lone world! More about Google Latitude to come....in the meantime please watch this video clip:

[media]http://www.youtube.com/watch?v=Q-Oq-9enE-k[/media]

SteveD.
Nilipata kusikia kuhusu hii product kupitia BBC na matumizi yake katika simu za mkononi;ila hadi hivi sasa sijui kama ina-support hizi mobilephone network zetu hapa TZ?!Kama inatumika nifahamishe ili tuondokane na kupigwa fix.Hellow,uko wapi niko K'nyama latitude inaniambia uko Kariakoo,jamani nilikuwa nakutania tu.
 
Nafikiri hii ni aina ingine ya mawasiliano ya papo kwa hapo kama yale ya MSN Mesenger au Yahoo Mesenger na mengine.

Nafikiri cha msingi ni kuzingatia kwamba ni mpaka pale unaporuhusu mtu ambae anataka kujiunga nawe kwa kutumia devise yako ya mobile phone aijunge nawe ndio mnakuwa na mtandao wenu.

Pia unaweza ukaficha "location" yako na ku-control nani anaweza kukuona wewe , "profile" yako na marafiki zako.

Kwa hio ni yaleyale ya mesenger isipokuwa ni kwa tool ya latitude na kkwa kutumia simu yako ya mobile baada ya kujiandikisha kwa kuregister namba yako.

Hapo ndio unaweza ukasema kwamba watu wa Google wanajua kila ufanyacho na maisha yako kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom