Sielewi privacy issue inatoka wapi wakati inabidi ujiandikishe mwenyewe kwenye service.
Video sijaangalia nalipia per Mb mwenzako!
Sounds like buddy beacon on my phone.
hallo
Nilipata kusikia kuhusu hii product kupitia BBC na matumizi yake katika simu za mkononi;ila hadi hivi sasa sijui kama ina-support hizi mobilephone network zetu hapa TZ?!Kama inatumika nifahamishe ili tuondokane na kupigwa fix.Hellow,uko wapi niko K'nyama latitude inaniambia uko Kariakoo,jamani nilikuwa nakutania tu.As always, it is not without controversy, Google have delivered again! A great mainstream consumer product has been unleashed and is grabbing headlines. Well let's just say - Latitude is the word and privacy won't be your lone world! More about Google Latitude to come....in the meantime please watch this video clip:
[media]http://www.youtube.com/watch?v=Q-Oq-9enE-k[/media]
SteveD.