B Boaziwaya JF-Expert Member Joined Oct 21, 2019 Posts 751 Reaction score 564 Jul 18, 2020 #21 Drizzle said: Kwani Google, Apple na Palestine nini kilianza kuwepo? Kabla ya Google na Apple, Palestine ilikuwa haitambuliki kwenye ramani za kwenye Atlas? Click to expand... msichukulie poa kutoa majibu ya kujifariji tu ilihali mnajua ili ni mojawapo ya pigo katika kudhoofisha uundwaji wa taifa la palestina,
Drizzle said: Kwani Google, Apple na Palestine nini kilianza kuwepo? Kabla ya Google na Apple, Palestine ilikuwa haitambuliki kwenye ramani za kwenye Atlas? Click to expand... msichukulie poa kutoa majibu ya kujifariji tu ilihali mnajua ili ni mojawapo ya pigo katika kudhoofisha uundwaji wa taifa la palestina,
Bwana Utam JF-Expert Member Joined Feb 15, 2016 Posts 19,559 Reaction score 36,514 Jul 18, 2020 #22 Boaziwaya said: msichukulie poa kutoa majibu ya kujifariji tu ilihali mnajua ili ni mojawapo ya pigo katika kudhoofisha uundwaji wa taifa la palestina, Click to expand... Ijapokua ukweli fulan hapa ndani ila ishu kubwa kuhusiana na palestia wala sio kama hilo unalotaka kulisema Palestina kama watataka waende nje yamatakwa yao kesho asubuhi litakua tayar taifa huru ila hawataki huo upuuzi
Boaziwaya said: msichukulie poa kutoa majibu ya kujifariji tu ilihali mnajua ili ni mojawapo ya pigo katika kudhoofisha uundwaji wa taifa la palestina, Click to expand... Ijapokua ukweli fulan hapa ndani ila ishu kubwa kuhusiana na palestia wala sio kama hilo unalotaka kulisema Palestina kama watataka waende nje yamatakwa yao kesho asubuhi litakua tayar taifa huru ila hawataki huo upuuzi
chikanu chikali JF-Expert Member Joined Aug 29, 2017 Posts 1,146 Reaction score 1,832 Jul 18, 2020 #23 Jackal said: View attachment 1509917View attachment 1509917 Click to expand... Safi sana
output device Member Joined Jan 11, 2015 Posts 10 Reaction score 7 Jul 18, 2020 #24 Mbona naiona hapa
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,717 Reaction score 13,176 Jul 18, 2020 #25 Shauri yao Wenyewe Nalog off
B Boaziwaya JF-Expert Member Joined Oct 21, 2019 Posts 751 Reaction score 564 Jul 18, 2020 #26 Bwana Utam said: Ijapokua ukweli fulan hapa ndani ila ishu kubwa kuhusiana na palestia wala sio kama hilo unalotaka kulisema Palestina kama watataka waende nje yamatakwa yao kesho asubuhi litakua tayar taifa huru ila hawataki huo upuuzi Click to expand... umeelewa.ulichokiandika?? upuuzi tena? duh hii kali
Bwana Utam said: Ijapokua ukweli fulan hapa ndani ila ishu kubwa kuhusiana na palestia wala sio kama hilo unalotaka kulisema Palestina kama watataka waende nje yamatakwa yao kesho asubuhi litakua tayar taifa huru ila hawataki huo upuuzi Click to expand... umeelewa.ulichokiandika?? upuuzi tena? duh hii kali