Hivi karibuni nilinunua simu ya google pixel 4xl ambayo nimeitumia Kwa takribani miezi 5 then ilizima ghafla na ever since haijawaka tena despite kujaribu kuipeleka Kwa mafundi mbalimbali wa simu, huko nimekuta kwamba hili ni tatizo sugu Kwa hizi 4xl ,yaani ikizima ni matanga na msiba moja kwa moja , hazirekebishiki.
Pia zinapoteza charge storing ability ni ndogo sana.
Mimi Bado ni mdau wa pixel any one with a recommendation kuhusu pixel ipi inaweza kuwa na lesser complications .
Lakini pia Kwa wazoefu wa kuagiza simu nchi kama UK na USA uzoefu wao utakuwa very much appreciated.