Nipe kwa 200k my dearNimenunua pixel 5 kwa ajili wife kasema kadogo anataka simu ya kujaa mkononi, naiuza bei hiyo ina wiki tu. RAM 8GB, 128GB STORAGE.
HAINA SHIDA YOYOTE CHAJI INAKAA ASUBUHI MPAKA JION DATA IKIWA ON.Ukizima data unatoboa siku 2.
Imenyooka sana CAMERA KALI.
View attachment 2926222
Nahitaji Ila 200,000 plzNimenunua pixel 5 kwa ajili wife kasema kadogo anataka simu ya kujaa mkononi, naiuza bei hiyo ina wiki tu. RAM 8GB, 128GB STORAGE.
HAINA SHIDA YOYOTE CHAJI INAKAA ASUBUHI MPAKA JION DATA IKIWA ON.Ukizima data unatoboa siku 2.
Imenyooka sana CAMERA KALI.
View attachment 2926222
Bila shaka unatumia simu ya batani. Mimi muda huu naitumia hapa TECO 375 haiwezi kuingia PM.Uko mkoa gani? namba ya simu? tunakupataje...wengine kwa simu zetu hatuwezi kuja pm..