Shariff_tz
New Member
- Jun 23, 2023
- 4
- 4
Original ukiishika tu utagundua hii ni yenyeweNaomba kujua kwa watumiaji wa Google pixel 7 pro,pamoja na wadau wenye uelewa wa hii simu. Je, nawezaje kuitambua kama ni simu original?
Je Kuna test ambazo naweza kuzifanya kutofautisha copy na original
Ina supportAngalia km ina support esim