Mngejua tu sina nia ya kujionyesha, ni kwamba mtu aliniambia amemaliza shule flani so ikanibidi ningie google kuprove,niliposearch sikuona results ya jina lake na shule aliyosoma zaidi ya account zake za facebook, linkedin,.ikabidi nijaribu kusearch jina langu nkaona hvyo hvyo, nkasearch jina la rafiki yangu tuliemaliza nae, ikawa hvyo hvyo.